Afisa
uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki, akizungumza na waandishi wa
habari kuhusiana na Gulio la Airtel na Huawei Smartphone
lililofanyika Mlimani City wikiendi hii. Gulio linalomuwezesha mteja
kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei.Gulio hili
lilianza Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na litakaloendelea wiki ijayo
siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili pale Kibo Complex Tegeta.
Baadhi
ya Wateja waliofika katika Gulio la Airtel na Huawei Smartphone
wakipewa maelezo kuhusiana na OFA kababe inayotolewa na Kampuni ya simu
ya Airtel na Huawei katika banda la Mlimani City jijini Dar Es Salaam
.Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale
anaponunua simu ya Huawei.MICHUZI-MATUKIO
Mmoja
wa Wateja wa Airtel waliofika katika Gulio la Airel na Huawei
Smartphone akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana
na OFA kababe iliyotolewa na Airtel mwishoni mwa wiki hii pale Mlimani
City.
Mmoja
wa Wateja wa Airtel waliofika katika Gulio la Airtel na Huawei
Smartphone akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana
na OFA kababe iliyotolewa na Airtel mwishoni mwa wiki hii pale Mlimani
City. Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale
anaponunua simu ya Huawei.Gulio hili lilianza Ijumaa, Jumamosi na
Jumapili na litakaloendelea wiki ijayo siku ya Ijumaa, Jumamosi na
Jumapili pale Kibo Complex Tegeta.
Meneja
masoko wa Huawei, Bi Lydia (kushoto) na Afisa Uhusiano wa Airtel Dangio
Kaniki wakionyesha baadhi ya simu zinazouzwa katika Gulio la Airtel na
Huawei Smartphone. Gulio hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki hii pale
Mlimani City na kuwawezesha Wateja kupata ofa mbalimbali pale unaponunua
simu hizo.






Post a Comment