Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwenyekiti wa Uvccm Aman Kajuna kulia na Katibu wa Uvccm Mbeya Adiya Mamu wakifurahia jambo katika mahafali ya wanaccm chuo kikuu Teku katika ukimbi wa Kiwila Motel soweto jijini Mbeya June 13 mwaka huu .Picha Dj shibobo


Baadhi ya Wahitimu wa mwaka wa tatu cho kikuu Teku ambao ni makada wa Chama Chama Cha Mapinduzi CCM wakifuatilia yanayojili katika hafla hiyo.



Adrian Peter Majembe Mwenyekiti wa Mtaa wa Block T na Katibu CCM Block T akizungumza jambo katika mahafali hayo ya wanaccm chuo kikuu teku yaliyofanyika katika ukumbi wa kiwila Motel Soweto Jijini Mbeya.



Patrick Mwakalobo - Rais wa serikali ya wanafunzi chuo Kikuu Teku akizungumza na wahitimu katika mahafali hayo.




Lisala kwa mgeni rasmi



Mwenyekiti wa Uvccm Mbeya Amani Kajuna kushoto na Mwenyekiti wa ccm teku Alpha Laier wakifuatila jambo katika sherehe hiyo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya Amani Kajuna ambaye ndiye mgeni rasmi katika mahafali hayo ya wanaccm chuo kikuu Teku yaliyofanyika katika ukumbi wa Kiwila motel Soweto jijini Mbeya June 13 mwaka huu.








Adia Mamu Katibu wa Uvccm Mbeya

Adia Mamu Katibu wa Uvccm Mbeya .



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top