Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwigulu Nchemba akiwasili ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya  tayari kwa kudhaminiwa kuelekea Urais 2015.Picha Emanuel Madafa


Mwigulu Nchemba akisalimiana na WanaCCM Mkoa wa Mbeya  walioamua kwa dhati kumdhamini iliaweze kupitishwa na Chama cha Mapinduzi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .



















Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya wadhamini wa Mkoa wa Kagera hii leo,Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya.

Mwigulu Nchema akionesha orodha ya majina ya wanaccm waliomdhamini Nimedhamini Mkoani  Mbeya


Mwigulu Nchemba akizungumza na Wanaccm Mkoa wa Mbeya



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top