Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Toka halmashauri ya jiji la mbeya kuanzisha mfumo mpya wa uzoaji wa takataka kwa kutumia magari ambayo hupita mtaa hadi mtaa umekuwa kero kubwa kwani mawakala waliopatiwa jukumu hilo na halmasahuri ya jiji la mbeya wameshindwa kutekeleza jukumu hilo hali ambayo imechangia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa takataka zikiwa zimezagaa hovyo maeneo ya barabarani ,nakama kawaida wananchi nao wanafuata vilevile walivyo elekezwa na uongozi wa jiji la mbeya kwa kuzirundika taka hizo sehemu moja matokeo yake zinakaa muda mrefu na kuanza kuzagaa hovyo sasa sijui lengo lilikuwa ni hilo ....jiji jipangeni upya hapa mmechemka





Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top