Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Helkopta ilimbeba Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Taifa, Dk. Raphael Chegeni,










Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya  leo Juni 19, 2015, wakati shukrani kwa udhamini wa kishindo alioupata kutoka wa WanaCCM hao, ili aweze kupata ridhaa ya Chama chake katika kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wanaCCM 53,119.


Msanii wa Nyimbo za Injili Bahati Bukuku akiwasalimia wanaccm pamoja na wanchi wa mkoa wa mbeya




Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za wanachama 53,119 wa CCM Mkoa wa Mbeya , waliomdhani ili aweze kupata ridhaa ya Chama chake katika kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015







Mh.Lowasa akiteta jambo na machiief wa mkoa wa mbeya




Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top