Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wajumbe wa Mkutano mkuu umoja wa wanawake ccm mkoa wa mbeya wakiwa ndani ya ukumbi wa chuo kikuu cha Must jijini mbeya tayari kwa upigaji kura



Mmoja wa wagombea ubunge Viti maalum ccm Ndugu Jengwea Benjamin akijinadi mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu maalumu kwa lengo la kupigiwa kura ili aweze kuteuliwa kuwa mbunge kwa tiketi ya ccm kupitia  Umoja huo ambapo katika mkutano huo zaidi ya wajumbe 600 walihudhuria.




Mahundi Meryprisc a kiomba kura


















Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top