Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakati akianza safari ya kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiwasalimu wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakati wakianza safari ya kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiwasalimu wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakati wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akiwa pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Ramadhani Madabida, na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Ndugu January Makamba wakiongoza matembezi kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumsindikiza mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenda kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiwasili nje ya ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akijumuika na wakazi wa Dar es Salaam mara baada ya Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kuchukua fomu katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsindikiza mgombea wa CCM Dk.John Pombe Magufuli.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa juu ya gari lililobeba wapiga picha kwenye msafara wa Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiwasalimu wakazi wa jiji la Dar es Salaam mara baada ya kuchukua fomu za kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wapenzi na wanachama wa CCM wakiwa wamefurika nje ya Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba.
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiteta jambo na mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli nje ya ofisi ndogo za CCM ,Lumumba.
Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwasalimu wakazi wa jiji la Dar es salaam waliojitokeza kwa wingi kumpokea mgombea wa Urais kupitia CCM DK.John Pombe Magufuli nje ya ofisi ya CCM Makao Makuu Ofisi Ndogo Lumumba mara baada ya kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo kutoka kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wakazi wa Dar es Salaam kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.jakaya Mrisho Kikwete kuzungumza na wananchi.
Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakazi wa jiji la Dar es salaa waliomsindikiza DK.John Pombe Magufuli kwenda kuchukua fomu za kugombea urais kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar es salaam.
Mgombea wa Urais kupitia CCM DK.John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mhe.Samia Suluhu Hassan wakionyesha juu kalabrasha lenye fomu zakugombea urais kwa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kulia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mgombea wa nafasi ya Urais wakiinua kalabrasha lenye fomu za uteuzi wa wagombea wa nafasi za Urais na Umakamu nje ya Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba.
Mgombea Mwenza wa CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia wakazi wa jiji la Dar es Salaam kwenye mkutano uliofanyika nje ya Makao Makuu ya CCM ofisi Ndogo Lumumba.
Mgombea Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa jiji la Dar es Salaam mara baada ya kuchukua fomu za uteuzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakimsikiliza kwa makini Dk.John Pombe Magufuli.
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam nje ya ofisi ndogo ya CCM ,Lumumba.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Post a Comment