Lakini kundi moja la watoto waliopoteza mikono katika shambulizi wamepewa fursa mpya |
Wengine wengi wamekatwa viungo mbalimbali vya mwili kwa kuwa wengi wanaamini kwamba viungo vyao vinaleta bahati nzuri. |
Walisafiri hadi nchini Marekani ili kuwekewa mikono bandia.Wanne kati ya watano sasa wamerudi nchini Tanzania.CHANZO BBC SWAHILI |
Post a Comment