Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi
ya Chadema,Mh. Edward Lowassa akiweka shada la maua katika kaburi la
aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo,
alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi,
wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015.
Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi
ya Chadema,Mh. Edward Lowassa, akisaini kitabu cha maombolezo, wakati
alipofika kuhani msiba wa aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini,
Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa
Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6,
2015.
Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi
ya Chadema,Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Kaka wa Marehemu Mzee
Peter Kisumo, Mzee Daniel Mchangila, wakati alipofika kuhani msiba
wa aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter
Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi,
wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015. Kulia ni Mama Mdogo
wa Marehemu Mzee Kisumo, Bi. Nashati Mbawa.
Picha na Othman Michuzi.
Post a Comment