Umati wa wakazi wa mji wa Karatu wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye Viwanja vya Bwawani, Karatu.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Karatu ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa anagombea urais ili aweze kuwatumikia Watanzania wote bila kujali itikadi zao za vyama.
Sehemu ya Umati ya wakazi wa Karatu wakifuatilia mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha mgombea wa ubunge jimbo la Karatu Dk.Wilbald Slaa Lorri kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Bwawani,Karatu.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Karatu Dk.Wilbald Slaa Lorri kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Bwawani,Karatu.
Wabunge wa viti maalum wanaowakilisha wanawake watarajiwa kutoka CCM kutoka mkoa wa Arusha, kushoto ni Catherine Magige na Violet Mfuko.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambulisha wabunge watarajiwa wa viti maalum mkoa wa Arusha kwa wakazi wa Karatu kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Bwawani,Karatu.
Mbunge mtarajiwa kutoka mkoa wa Arusha Ndugu Violet Mfuko akiwasalimu wakazi wa Karatu.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli (katikati) akiwa pamoja na Mbunge anayemaliza muda wake wa jimbo la Longido Ndugu Lekule Michael Laizer (kulia) na Mgombea Ubunge jimbo la Karatu Dk. Wilbald Slaa Lorri wakati wa mkutano wa kampeni ukiendelea mjini Karatu.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akicheza muziki na wanamuziki wa kizazi kipya wakiongozwa na Chegge na Temba mara baada ya kumaliza kuhutubia.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Karatu ambapo kesho anategemea kuhutubia wakazi wa Arusha mjini.

Post a Comment