Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF),
Jamal Malinzi amemtumia salamu za pongezi Dk. John Pombe Magufuli
kufuatia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika salamu zake, Malinzi amesema TFF ina imani na ahadi za
mikakati yake ya kuongeza uwekezaji wa serikali katika maendeleo ya
mpira wa miguu na michezo kwa ujumla.
Home
»
»Unlabelled
» MALINZI ATUMIA SALAMU ZA PONGEZI RAIS MAGUFULI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment