Meneja wa duka la TigoNkurumah, Lulu Kikuli akimkabidhi zawadi ya simu Grace Joachim mkazi wa Tandale ikiwa ni sehemu maadhimisho ya
wiki ya wateja wa
Tigo
|
Mwandishi wa habari wa TV1 Robert Latonga akifanya mahojiano na mteja wa Tigo, Hamadi Maliwata mkazi wa Mbagala kwenye maadhimisho ya wiki ya wateja wa Tigo |
Meneja wa Duka
la Tigo Nkurumah, Lulu Kikuli akifanyiwa mahojiano na Mwandishi wa habari wa
TV1 Robert Latonga
|
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. MwangazaMatotola, akimkabidhi fulana mteja wa Tigo Nickson Mbwambo mkazi wa Mabibo, |
Mtaalam
wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson
Jerry(kushoto),
, Halima Kasoro
(katikati)
na
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Mwangaza Matotola(kulia) wakiwa
kwenye picha ya pamoja
|
Mteja wa Tigo Zenah Hamdi mkazi wa Tandika,
akipata huduma toka kwa Mtoa huduma wa Kampuni ya
|
Post a Comment