TCRA YATOA MIEZI SITA HADI JUNE 16,2016 KUZIFUNGA SIMU ZOTE FEKI TANZANIA
TCRA imetoa miezi Sita hadi June 16, 2016 kuzifunga simu zote feki Tanzania.
Hakiki namba yako mapema (angalia video) ukihundua simu yako ni feki ibadilishe kabla ya June 2016! Chukua hatua usisubiri.
Utaratibu huu pia utatusaidia kufunga simu iliyoibiwa Au kupotea. Ukiibiwa simu yako toa taarifa Polisi, chukua RB na toa taarifa kwa mtoa huduma wako. Simu itafungwa ndani ya saa 24! Haitaweza kutumika tena
Post a Comment