Waziri wa Kilimo ,Uvumi na Chakula Mh.Mwigulu Nchemba akiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Elizabeth Mkwasa wakati alipotembelea majeruhi wa Mgogoro wa wakulima na Wafugaji kijiji cha DIhinda kata ya Kanga Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro
Waziri wa Kilimo ,Uvuvi na Chakula Mh.Mwigulu Nchemba akizungumza na mmoja wa majeruhi waliolazwa katika hospital ya wilaya ya Mvomero mara baada ya kutokea kwa mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Dihinda Kata ya Kanga Desemba12 na kusababisha vifo na majeruhi.
Waziri wa Kilimo ,Chakula na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba akitazama mifugo iliyokufa kutokana na kuibuka kwa mipagano kati ya Wafugaji na wakulima katika kijiji cha Dihinda Kata ya Kanga Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro Desemba 12 mwaka huu na kusabisha vifo na majeruhi .
Waziri wa Kilimo ,Chakula na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Dihinda Kata ya Kanga Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro mara baada ya kuibuka kwa mapigano kati ya wafugaji na wakulima wa kijiji hicho na kusabisha vifo vya baadhi ya watu pamoja na majeruhi ambapo ametumia fursa hiyo kuitaka kamati ya ulinzi na usalama wilaya kuhakikishakuhakikisha wanaimarisha ulinzi maeneo yote yenye migogoro,sanjali na kuhakikisha waliosababisha maafa wanakamatwa mara moja na kufikishwa kwenye vyombo vya sharia.
Post a Comment