Chai ni nzuri kwa afya, lakini katika hali zifuatazo huwezi kunywa chai.
1.Homa
Ukipata homa, huwezi kunywa chai. Chai sio tu inaongeza joto ya mwili, bali pia inapunguza kazi ya dawa.
2. Mtu anayepata ugonjwa wa maini
Chai italeta shinikizo kwa maini, hivyo haifai mtu mgonjwa wa maini.
3. Mtu mwenye tatizo la usingizi
Chai inaweza kuufanya ubongo kusisimua, hivyo mtu anayekumbwa na tatizo la usingizi hawezi kunywa chai mchana na usiku.
4. Mjamzito
Chai ina athari mbaya kwa ukuaji wa mtoto. Ili kuhakikisha maendeleo mazuri ya akili ya mtoto, mjamzito hafai kunywa chai.
5. Mtu anayelewa
Kunywa chai baada ya kulewa kutaongeza shinikizo la moyo. Aidha, chai inasaidia kukojoa, hivyo shinikizo la figo pia linaongezeka.
6. Kabla ya chakula
Usinywe chai kabla ya chakula. Kwa sababu chai itaathari usakaji wa chakula, na kuathiri hamu ya kula.Chanzo CRI Swahili
Post a Comment