Mwanafunzi Hamad H.Yunus wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), (kulia), akimlisha keki Bi Mariam Mkumbukwa katika hafla yake ya kuzaliwa viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam mchana huu "hakika sherehe hiyo imenoga sanaaaa).
Katibu Muhtasi wa Mtandao wa www. habari za jamii.com Bi Mariam Mkumbukwa akimlisha keki Mwanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Hamad H.Yunus (kulia), katika hafla ya kuzaliwa mwanafunzi huyo iliyofanyika jioni hii viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam mchana huu.
Mwanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Hamad H.Yunus akimlisha keki Mmiliki wa Mtandao wa www.habari za jamii.com Bwana Dotto Mwaibale (kushoto), katika hafla yake ya kuzaliwa iliyofanyika Viwanja vya Biashara vya Mwalimu Nyerere Sabasaba vilivyopo Barabara ya Kilwa Dar es Salaam jioni hii. Kulia ni Katibu Muhtasi wa Dotto Mwaibale, Mariam Mkumbukwa.
Hapa wageni waalikwa na wanafunze wenzake na Hamad wakitosti katika sherehe hiyooooo.
Hapa ni chupa juu na furaha tele. Big Up Hamada Yunus kwa Birth Day yako.
Post a Comment