Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Urusi Mhe. Denis
Manturov aliyeongoza ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Urusi Mhe. Vladmir
Putin wakati ujumbe huo ulipofia Ikulu Dar es salaam leo April 28,
2016. Katika mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia kuhusu kuendelea
kuzidisha ushirikiano katika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo baina ya
Tanzania na Urusi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Urusi Mhe. Denis
Manturov aliyeongoza ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Urusi Mhe. Vladmir
Putin wakati ujumbe huo ulipofia Ikulu Dar es salaam leo April 28,
2016. Katika mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia kuhusu kuendelea
kuzidisha ushirikiano katika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo baina ya
Tanzania na Urusi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
katikati akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Biashara na Viwanda
wa Urusi Mhe. Denis Manturov aliyeongoza ujumbe maalum kutoka kwa Rais
wa Urusi Mhe. Vladmir Putin wakati ujumbe huo ulipofia Ikulu Dar es
salaam leo April 28, 2016. Katika mazungumzo yao Viongozi hao
wamezungumzia kuhusu kuendelea kuzidisha ushirikiano katika Nyanja
mbalimbali za kimaendeleo baina ya Tanzania na Urusi.
Waziri
wa Mambo ya Nchi za Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki kikanda na
Kimataifa Mhe. Augustine Mahiga akisalimiana na Waziri wa Biashara na
Viwanda wa Urusi Mhe. Denis Manturov aliyeongoza ujumbe maalum kutoka
kwa Rais wa Urusi Mhe. Vladmir Putin wakati ujumbe huo ulipofia Ikulu
Dar es salaam leo April 28, 2016. Kwa ajili ya kuonana na Makamu wa Rais
Mhe. Samia Suluhu Hassan ambapo kwenye mazungumzo yao Viongozi hao
wamezungumzia kuhusu kuendelea kuzidisha ushirikiano katika Nyanja
mbalimbali za kimaendeleo baina ya Tanzania na Urusi. Katikati Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiangalia unga unaotokana na matunda ya mashelisheli pamoja na bidhaa
mbalimbali za matumizi ya Nyumbani zinazofanywa na wajasiriamali
wadogowadogo alipotembelea maonesho baada ya kufungua mkutano unaojadili
kuhusu mambo ya kifedha unaoangalia jinsi Mwanamke atakavyoweza
kuingia kwenye mifumo yote ya kiuchumi hasa katika upatikanaji wa mikopo
na mitaji kwa Mwanamke utakaorahisisha kufanya kazi zao kwa ufanisi.
Mkutano huo umefunguliwa leo April 28,2016 katika Ukumbi wa BOT Dar es
salaam.(Picha na OMR)

Post a Comment