Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akikagua matengenezo ya  barabara ya Ali Hassan Mwinyi leo tarehe 25-04-2016

 Mkuu wa wilaya Kinondoni Ally Salum Hapi wa kwanza kulia   hakipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa ujenzi wa barabara ya Ali  Hassani  Mwinyi Halipo tembelea leo kuona maendeleo ya ujenzi wa barabara  hiyo

Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akiwa na wafanyakazi wa MS ESTIM CONSTRUCTION CO.LTD

Mkuu wa wilaya Mhe.Ally Hapi akiongea na msimamizi wa ujenzi.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi kushoto akiwa na meneja wa Tanroad katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi leo tarehe 25 Aprili 2016

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top