Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mfano wa nyumba iliyoezekwa kwa kutumia mabati ya Versatile yanayopatikana ALAF Tanzania ambapo imekuwa kivutio cha watu wengi katika maonesho ya Sabasaba2016

Wahudumu wakionesha mabati Versatile yanayopatikana ALAF Tanzania katika maonesho ya Sabasaba 2016 ambapo bei zake zikiwa na punguzo la asilimia tano katika maeneosho hayo



Wananchi na baadhi ya wafanyakazi wa ALAF wakiwa katika banda lililoezekwa na mabati ya Versatile yanayopatikana ALAF Tanzania ambapo imekuwa kivutio cha watu wengi katika maonesho ya Sabasaba2016.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top