Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
Dkt Frannie Leutier na ujumbe wake aliyemtembele Ikulu ya Chamwino
mjini Dodoma leo Julai 26, 2016. Wa tatu kutoka kushoto ni Naibu Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, wa tatu kulia ni Mwakilishi wa
Benki hio nchini, Bi. Tonia Kandiero, kulia ni Mchumi Mkuu kutoka Idara
ya Fedha za Nje Bw. Johannes Jovin akifuatiwa na Mkrugenzi Idara ya
Ushirikiano wa Kimataifa Wizara mambo ya Nje Balozi Celestine Mushy.
Kushoto ni Mshauri wa Rais Masuala ya Profesa Longinus Rutasitara
akifuatiwa na Mshauri wa Rais masuala ya Diplomasia Balozi Zuhura
Bundala(Picha na Ikulu) |
Post a Comment