ESRF NA UNDP/UNEP WAANDAA KONGAMANO LA KILIMO BIASHARA KANDA YA ZIWA BURE
Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) ikishirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP/UNEP inaandaa Kongamano la siku moja kuhusu KILIMO BIASHARA katika KANDA YA ZIWA litakalofanyika Jijini Mwanza siku ya Jumamosi tarehe 27/8/2016 katika Ukumbi wa ROCK CITY MALL ghorofa ya tatu kuanzia saa mbili na nusu (2:30) asubuhi. Malelezo Zaidi bofya hapahttp://esrf.or.tz/ebrief/067. html Au soma vipeperushi hapa chini
Post a Comment