Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimu
wanafamilia alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu
ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe
Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
sahihi kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani
kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu
Mzee Aboud Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo
Septemba 3, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
shada la maua kaburini na kutoa heshima zake alipokwenda kutoa mkono wa
pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi Migombani Zanzibar mjini leo
Septemba 3, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na ujumbe
wake wakishiriki dua alipokwenda kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais
wa awamu ya Pili ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud
Jumbe Mwinyi nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3,
2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga
baada ya kutoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais wa awamu ya Pili ya
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi
nyumbani kwao Migombani Zanzibar mjini leo Septemba 3, 2016.
Post a Comment