Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua
Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi katika ukumbi wa Mlimani City jijini
Dar es salaam leo Septemba 1, 2016
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata picha ya
pamoja na
Wanajeshi wa JWTZ Kikosi cha Anga 603 KJ Majumba Sita Ukonga jijini Dar
es salaam alikotembelea kuwapongeza kwa kusherehekea miaka 52 ya Jeshi
la Wananchi leo Septemba 1, 2016
Post a Comment