Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akizungumza alipokutana na Balozi wa
Finland Nchini, Pekka Hukka (kushoto). Balozi Hukka alimtembelea Waziri
Muhongo Ofisini kwake, Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Jijini
Dar es Salaam ili kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo uboreshaji wa
Sekta ya Nishati nchini.
Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akizungumza wakati wa kikao na Balozi
wa Finland Nchini, Pekka Hukka (katikati). Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu
wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo.
Balozi wa Finland Nchini, Pekka Hukka (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akipeana mkono na Balozi wa Finland
Nchini Tanzania, Pekka Hukka wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri
Muhongo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati na Madini,
Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akizungumza katika kikao na Balozi wa
Finland Nchini, Pekka Hukka (kushoto).
Post a Comment