Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mkuu  wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akizungumza katika Sikh ya Mwalimu jijini Mbeya.


 MKUU WA MKOA AIPONGEZA NMB KWA KUANDAA SIKU YA WALIMU JIJI LA MBEYA 
- Awashauri walimu na watumishi wa umma kujenga utamaduni wa kuweka Akiba
- Asema kauli za kula raha kufa kwaja zimepitwa na wakati
- Aishauri NMB kuongeza kasi YA upatikanaji mikopo kwa watumishi
Mkuu wa Mkoa Wa Mbeya ameipongeza Benki YA NMB kwa kuandaa siku ya walimu wa jiji la Mbeya kwa ajili ya kuwaelimisha huduma mbalimbali za benki hiyo ikiwemo NAMNA YA upatikanaji wa mikopo
Hayo ameyasema leo wakati wa kufungua warsha ya Nmb kwa ajili ya walimu na kuwaasa walimu na watumishi wa umma kujenga utamaduni wa kuweka akiba kwa ajili ya  kupata mitaji na ujenzi wa nyumba za makazi ili wakistaafu wasipate tabu 
Amesisistiza na kusema kuna watu wakipata mshahara wanautumia wote bila hata kufanya jambo la kumbukumbu zaidi YA kula , Nguo na starehe na zile kauli za Pinda MALI kufa kwaja zimewaponza wengi
Ameiomba BENKI YA NNB kuongeza fursa YA mikopo kwa walimu na wafanyakazi wa umma ili waanze kuandaa maisha yao sasa badala ya kusubiri waastaafu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top