| MKUU WA MKOA WA MBEYA AKUTANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA | Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo asubuhi amekutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Kenya nchini Tanzania Hon Chirau Mwakwere . Katika mazungumzo wamekubaliana kudumisha ushirikiano na biashara. Balozi wa kenya amesema nchini Kenya kula mchele wa Mbeya ni fahari kubwa na unapendwa sana. | Mkuu wa Mkoa amemuomba balozi kuwashawishi wafanyabiashara na wawekezaji kuja Tanzania husani Mkoa wa Mbeya kuja kuwekeza na kufanya biashara |
Post a Comment