Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali
mke wake, Mama Janeth Magufuli, ambaye amelazwa kwenye wodi ya Sewa
Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam
akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali
Waziri wa Zamani Balozi Ramadhani Mapuri ambaye amelazwa kwenye wodi ya
Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam
akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwapongeza kwa kazi
nzuri baadhi ya madaktari na wauguzi kwenye wodi ya Sewa Haji katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea
wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wananchi alipokuwa akitoka
Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam
alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu.leo
Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwafariji baadhi ya wagonjwa kwenye
wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es
salaam alipotembelea kuona wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa
matibabu hapo leo Novemba 10, 2016

Post a Comment