Balozi
wa India nchini Tanzania ,Sandeep Arya kushoto akiteta jambo na Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Thobias Mwilapwa wakati wa kongamano la
wafanyabiashara wa pili kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi
Zena Saidi.
Balozi wa India nchini
Tanzania ,Sandeep Arya akizungumza wakati wa kongamano hilo kushoto
kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi na Waziri waHabari Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Mnauye
Balozi wa India nchini Sandeep Arya kushoto akiteta jambo na Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape
Mnauye katikati wakati wa kongamano la wafanyabiashara kutoka nchini India na Tanga uliofanyika ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach Resort kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi
Mnauye katikati wakati wa kongamano la wafanyabiashara kutoka nchini India na Tanga uliofanyika ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach Resort kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi
Baadhi ya wafanyabiashara kutoka nchini India na
Tanga wakimfuatilia hotuba ya Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Thobias Mwilapwa wakati akifungua kongamano la
wafanyabiashara juzi kwenye ukumbi wa hotel ya Tanga Beach Resort
Tanga wakimfuatilia hotuba ya Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Thobias Mwilapwa wakati akifungua kongamano la
wafanyabiashara juzi kwenye ukumbi wa hotel ya Tanga Beach Resort
KAIMU
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Thobias Mwilapwa amewakata wawekezaji kutoka
nchini India kuwekeza mkoani hapa kutokana na kuwepo kwa fursa nyingi za
kiuchumi zikiwemo kilimo,utalii,elimu na Afya ili kuweza kunufaika
nazo.
Mwilapwa alitoa kauli hiyo juzi wakati akifungua kongamano la kibiashara kati ya Tanzania na India uliofanyika katika
hotel ya Tanga beach jijini Tanga uliowahusisha wafanyabiashara kutoka India na Mkoa wa Tanga.
hotel ya Tanga beach jijini Tanga uliowahusisha wafanyabiashara kutoka India na Mkoa wa Tanga.
Kongamano hilo lilikuwa na lengo lilikuwa ni kushirikisha mawazo na kuona ni kwa namna gani wanaweza kuzitumia
fursa mbalimbali zilizopo mkoani hapa ili kufanya uwekezaji ambao utaweza kuleta tija ya kimaendeleo.
fursa mbalimbali zilizopo mkoani hapa ili kufanya uwekezaji ambao utaweza kuleta tija ya kimaendeleo.
Alisema
kuwa India ni miongoni mwa nchi ambazo zimesaidia kukuza uchumi kwa
baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania hivyo uwepo wao katika suala la
uwekezaji linaweza kuwa chachu ya kuweza kuinua kasi ya ukuaji wa
maendeleo.
“India ni miongoni mwa nchi ambazo zimesaidia kukua kwa uchumi kwa
baadhi ya nchi dunia ikiwemo Tanzania kutokana na hilo niwatake muona
namna ya kuwekeza mkoani hapa kwani yapo maeneo mengine mnayoweza
kufanya hivyo “Alisema.
Awali
akizungumza Balozi wa India nchini, Sandeep Arya alisema ujio wa
Waziri Mkuu wa India Tanzania umeongeza ari kwa Taifa ilo kuona haja ya
kuendelea kuwekeza na kusaidia katika masuala mbalimbali ya afya, Elimu
Bishara na Kilimo.
Alisema kuwa soko la India linahitaj bidhaa zenye ubora na rahisi hivyo anaamini kutokana na ushirikiano wa nchi hizi
mbili kufanana mahitaji kutakuwepo na fursa kubwa ya muingiliano wa kibiashara ambao utaleta tija na faida kwa pande zote mbili.
mbili kufanana mahitaji kutakuwepo na fursa kubwa ya muingiliano wa kibiashara ambao utaleta tija na faida kwa pande zote mbili.
Hata hivyo alisema licha kushirikiana na Tanzania katika miradi mbalimbali ikiwemo ya maji, matibabu ya kansa lakini
wanatoa nafasi 350 za mafunzo nchini india kila mwaka ili kuwapatia nafasi watu kujifunza jinsi India inavyofanya kazi katika shughuli zake za uzalishaji.
wanatoa nafasi 350 za mafunzo nchini india kila mwaka ili kuwapatia nafasi watu kujifunza jinsi India inavyofanya kazi katika shughuli zake za uzalishaji.
Naye,
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ambaye
alikaribishwa kuzungumza alisema moja kati ya mipango ya Serikali ya
awamu ya tano chini Rais John Magufuli ni kuhakikisha inakuza uchumi na
kuleta maendeleo kwa mwananchi wa hali ya nchi hivyo hakuna haja ya
wananchi kukata tamaa.
Nape alisema kuwa hivi sasa ni wakati wa kuzitumia fursa zilizopo hapa nchini ili kuhakikisha zinaleta manufaa kwa
wananchi kwa kukuza vipato vyao na hata kuongeza pato la Taifa.
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
wananchi kwa kukuza vipato vyao na hata kuongeza pato la Taifa.
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
Post a Comment