Wajumbe
wa Kamati ya maandalizi ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Kanda
ya Kaskazini walipokutana na wanahabri mkoa Kilimanjaro kuzungumzia
tukio la uzinduzi litakalo fanyika kesho Ijumaa katika viwanja vya kituo
kikuu cha Mabasi mjini Moshi.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Maandalizi ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Kanda
ya Kaskazini ,Elizabeth Mushi akizungmza walipkkutana na wanahabari
mkoani Kilimanjaro.
Wajumbe
wa Kamati ya maandalizi ya siku 16 za kupinga ukatili kutoka Mtandao wa
Jinsia wa jeshi la Polisi (TPF Network) , Grace Lyimo (Kushoto) na
Theresia Nyangasa.(Kulia).
Meneja
Programu wa Shirika lisililo la Kiserikali linalojishughulisha na
kupinga ukeketaji (NAFGEM) Honorata Nasuwa akizungumza mbele ya
wanahabri juu ya uzinduzi rasmi wa siku 16 za kupinga ukatili wa
kijinsia .
Afisa
Programu wa Shirika linalotoa msaada wa Kisheria
Kilimanjaro-KIWECO,Hilaly Tesha akizungumza wakati wa mkutano wa na
wanahabari kuzungumzia tukio hilo .
Baadhi ya wanahabari wa vyombo mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa.
Mwenyekiti wa Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi ,Elina Maro akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
MAKONDA APIGA MARUFUKU BIASHARA YA SAMAKI KANDOKANDO YA BARABARA
Mkuu
wa Mkoa wa jiji la Dar,Paul Makonda amepiga marufuku biashara ya samaki
kandokando ya barabara inayoelekea kivukoni na soko la samaki la feri
baada ya wafanyabishara wa feri kulalamika kwa mkuu wa mkoa huyo kuwa
wafanyabiashara hao wamekuwa wakwepa kodi.
Awali
Makonda aliambiwa na wafanyabiashara hao kuwa soko hilo linakosa wateja
kutokana na kushindwa kufikiwa na wateja ambao hununua samaki au bidhaa
nyengine kandokando ya barabara na kusababisha wateja kutofika sokoni
humo.
Wakati huo huo Makonda amesikitishwa na kitendo cha wakuu wa idara mbalimbali kushindwa kukamilisha miradi kwa wakati kwa kisingizo cha kutopata fedha za bajeti ya serikali kuu ikiwa wangeweza kubuni miradi itakayowaingizia fedha.
Wakati huo huo Makonda amesikitishwa na kitendo cha wakuu wa idara mbalimbali kushindwa kukamilisha miradi kwa wakati kwa kisingizo cha kutopata fedha za bajeti ya serikali kuu ikiwa wangeweza kubuni miradi itakayowaingizia fedha.
RC Makonda alisema kuwa hatakubaliana na watendaji wa namna hiyo kwani hurudisha maendeleo nyuma.
Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akizungumza na viongozi na
watendaji wa wilaya ya Ilala katika ukumbi wa Anatoglo leo jijini Dar es
salaam.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala,Edward Mpogolo akizungumza macheche katika ukumbi wa Anatoglo leo jijini Dar es salaam.
Viongozi
na watendaji wa wilaya ya Ilala wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Dar es
Salaam Paul Makonda katika ukumbi wa Anatoglo leo jijini Dar es salaam.
Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akizungumza na wafanyabiashara wa
Soko la Feri ambapo pia alisikiliza kero zao leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Mkonda akikagua madarasa ya mradi wa MEMS 11 Pugu Station Sekondari leo jijini Dar es Salaam.
Mnada wa samaki katika Soko la Feri ukiendelea. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
Post a Comment