Kanda ya video ya dakika 20 iliorekodi kisa hicho imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii nchini Afrika Kusini.
Mwandishi
wa BBC Pumza Fihlani huko Middelburg anasema kuwa ndani ya mahakama
hiyo ,washtakiwa hao ,Theo Martins Kackson na Willem
Oosthuizen,walisimama wakiwa wameinamisha vichwa vyao chini huku
waandishi wa habari na raia wakichukua picha zao |
Post a Comment