Kaimu Mkurugenzi kituo cha
Maendeleo Dakawa Bw. Elasto Nywage(kulia) akitoa maelezo ya kituo hicho
kwa Waziri wa Utamaduni na Sanaa wa Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa
wakati Waziri huyo na ujumbe wako walipotembelea kituo hicho na
kujionea makaburi ya wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama
cha ANC.Fullshangweblog
Waziri wa Utamaduni na Sanaa wa
Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa akizungumza na viongozi wa Kituo
cha Maendelo Dakawa (hawapo pichani) wakati Waziri huyo na ujumbe wake
walipotembelea kituo hicho na kujionea makaburi ya wapigania Uhuru wa
Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC.
Waziri wa Utamaduni na Sanaa wa
Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa(katikati) akiangalia makaburi ya
wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC yaliyopo Dakawa
wilayani Kilosa mkoani Morogoro.
Waziri wa Utamaduni na Sanaa wa
Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa(katikati) akiangalia makaburi ya
wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC yaliyopo Dakawa
wilayani Kilosa mkoani Morogoro.
Waziri wa Utamaduni na Sanaa wa
Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa akiweka shada la maua katika eneo
maalum katika makaburi ya wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka
Chama cha ANC yaliyopo Dakawa wilayani Kilosa mkoani Morogoro.
Eneo la makaburi ya wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC yaliyopo Dakawa wilayani Kilosa mkoani Morogoro.
Kaimu Mkurugenzi kituo cha
Maendeleo Dakawa Bw. Elasto Nywage(kulia) akimuonesha Waziri wa
Utamaduni na Sanaa wa Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa(katikati)
bango linaloelezea kuwa eneo hilo ndipo yalipo makaburi ya wapigania
Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC katika wilayani Kilosa
mkoani Morogoro.
Bango linaloelezea kuwa eneo hilo
ndipo yalipo makaburi ya wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka
Chama cha ANC wilayani Kilosa mkoani Morogoro.
Post a Comment