Msanii
wa muziki Shilole amejikuta akishambuliwa na mashabiki wake wa muziki
katika mtandao ya Instagram baada ya kuandika kitu cha utani kwamba
anachojivunia ndani ya mwaka 2016 ni kupata bwana mpya.Muimbaji huyo
ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Mtoto Mdogo’ akiwa amemshirikisha msanii wa Singeli Man Fongo, hivi karibuni kupitia birthday yake alimtambulisha mpenzi wake huyo.
Katika instagram yake Shilole aliandika
:Mwaka
unaenda kuisha je kipi umefanya cha maendeleo.???? Kwa upande wangu mm
maendeleo yangu nimepata bwana mpya jokingKauli hiyo
iliwafanya mashabiki wa mtandao huo kuanza kumshambulia muimbaji huyo.
Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki wao.
Nick.mwenda
Vitu
unavyovifanya leo najua baada ya miaka kumi ijayo ndo utaona faida yake
au hasari zake hipo usiku hizo tatoo zitakukosti umri auludi nyuma Bali
usonga mbele
Piei_raita
Enzi
uko bongo movie nilikua nakukubali kinoma ila ulipoingia bongo freva
umekua ni mtu wakushobokea mabwana wadogo wadogo mwishoe utanitaka na
mimi
Jesikamwalongo
Angalia sana maisha yako usipende kuyumbayumba jua wewe no kioo kwa jamii,
Mbwenitegg
Sihuyo
unatuonyeshA bwana Mpya maendeleo kwa upande wako Sasa hatujui kama
kakuowa au bado boyfriend na girlfriend zile za usichana bado anyway
good for you and life is not fun,
Fkibonde7
Hv mpk ss umekuwa na mabwana wangap na kwa nn unapenda vijana wadogo na unahic watoto wako wanajifunza nn toka kwako.
osca_john
Kunakipindi pesa sikitu jitaidi kuzingatia umakini usipagawe naustaaaa tulia tafakari usileweshwe nasifa
Post a Comment