Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa amechuchumaa
katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa Kiwanda
hicho cha Kutengeneza mifuko ya Sandarusi mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe magufuli akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Kiwanda cha
kutengeneza vinywaji cha Jambo food product mara bada ya kukizindua mkoani
Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe magufuli akisikiliza maelezo kutoka kwa mmiliki wa kiwanda cha
kutengeneza vinywaji cha Jambo food product
Salum Hamis Mbuzi mara bada ya kukizindua mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe magufuli akimsikiliza mmiliki wa wa kiwanda hicho cha Fresho, Fred Shoo kuhusu malighafi ya kutengenezea
mifuko ya Sandarusi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe magufuli akiangalia moja ya hatua ya utengenezaaji wa mifuko ya
Sandarusi katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe magufuli akiangalia moja ya hatua ya utengenezaaji wa mifuko ya
Sandarusi katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe magufuli akiangalia moja ya hatua ya utengenezaaji wa mifuko ya
Sandarusi katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa amechuchumaa
katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa Kiwanda
hicho cha Kutengeneza mifuko ya Sandarusi mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe magufuli akiwagawia vinywaji viongozi mbalimbali wa dini mara baada
ya kuzindua kiwanda hicho mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe magufuli akiwagawia vinywaji kikundi cha ngoma za asili cha mkoani Shinyanga
mara baada ya kuzindua kiwanda hicho cha Vinywaji mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe magufuli akiwasalimia kwa kuwapungia mkono wakazi wa Igunga mkaoni
Tabora. PICHA NA IKULU
Post a Comment