Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Emanuel
Nchimbi kuwa Balozi Nchini Brazili, Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. James Msekela kuwa Balozi Geneva –Umoja wa Mataifa, Ikulu jijini Dar es Salaam |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Mbelwa Kairuki kuwa Balozi nchini China, Ikulu
jijini Dar es salaam
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha George Madafa kuwa Balozi nchini Italia |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Elizabeth Kiondo kuwa Balozi nchini
Uturuki
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Fatma Rajab
kuwa balozi nchini Qatar, Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Mabalozi mbalimbali aliowaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU
|
Post a Comment