Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la
msingi katika mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3) katika
Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
Antony Mtaka watatu kutoka kulia Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa
wakwanza kulia pamoja na viongozi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengiene
akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mitambo itakayotumika katika
ujenzi wa mradi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo
ya mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3) kutoka kwa Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Cristianus Ako kabla ya kuweka jiwe
la msingi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi
wa Maswa kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa wa Barabara ya Mwigumbi-Maswa
(Km 50.3), mkoani Simiyu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa mara baada ya kuwasili Wilayani
Maswa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimsikiliza mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka mara baada
ya kuwasili Wilayani Maswa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Waziri wa TAMISEMi na Kazi maalumu kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Haji Omari Heri kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara hiyo ya
Mwigumbi-Maswa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Waziri wa TAMISEMi na Kazi maalumu kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Haji Omari Heri wakimwagilia maji mti mara baada ya kuupanda baada ya uwekaji
wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa (Km 50.3), mkoani Simiyu
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini
kwenye Ubao kwa kutumia Chaki zinazotengenezwa na Kiwanda cha Chaki cha Maswa
Mkoani Simiyu. Rais Dkt. Magufuli aliwapongeza wenye kiwanda hicho na
kuwashauri kukipanua zaidi ili kiweze kuwafikia Watanzania wengi wenye mahitaji
ya Chaki.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wakazi
wa Maganzo mkoani Shinyanga mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili
mkoani Simiyu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wakazi
wa Maganzo mkoani Shinyanga mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili
mkoani Simiyu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wakazi
mbalimbali wa Maswa mara baada ya kumaliza kuwahutubia Wilayani humo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wakazi
mbalimbali wa Maswa mara baada ya kumaliza kuwahutubia Wilayani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka wakiangalia
utengenezwaji wa Chaki katika kiwanda cha Chaki cha Maswa mkoani Simiyu. PICHA
NA IKULU
Post a Comment