Meneja Msaidizi Benki ya Posta Tanzania Tawi la Mbeya Joseph Nzilla akizungumza na waandishi wa habari kuhusu zoezi la usafi ambalo limehusisha wafanyakazi wote wa benki ya posta tawi la mbeya kama sehemu ya kusherekea miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar Leo January 12, 2017. |
Post a Comment