Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa
Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati
alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Maisara Zanzibar Januari 10,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakizungumza na mjane wa Rais wa
kwanza wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume
(katikati wakati walipomtembelea nyumbani kwake eneo la Maisara mjini
Zanzibar Januari 10, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mjane wa Rais wa kwanza wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati
alipomtembelea nyumbani kwake, eneo la Maisara, Zanzibar, Januari 10,
2017.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Rais wa
Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati
yeye na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa walipomtembelea nyumbani kwake
ENEO LA Maisara Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiongozana na Mjane wa Rais wa
Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume kutoka
ndani wakati walipomtembelea mama huyo nyumbani kwake eneo la Maisara
mjini Zanzibara, Januari 10, 2017.
Post a Comment