Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwenyekiti wa chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Mbeya MREFA, Elias Mwanjala akimkabidhi vifaa vya waamuzi Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Ndondo cup 2017 mkoani Mbeya Dick Simkwembe inayoanza kutimua vumbi Des 8 mwaka huu  katika viwanja vya OTTU jijini Mbeya . PICHA NA KENNETH NGELESI


Mratibu wa michuano ya Ndondo Cup 2017 mkoani Mbeya Yahaya Mohamed akizungumza na waandishi wa habara juu ya michuano hiyo itakayoanza kuanza kutimua vumbi Disemba 9 mwaka huu katika viwanja vya OTTU Jijini Mbeya kulia ni Mwenyekiti wa chama cha soka Mbeya Elias Mwanjali.

Waandishi wa habari wakichukua matukio katika mkutano huo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top