Waziri
Mkuu,. Kassim Majaliwa akifungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya
Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini eneo la Mlimwa
mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Kulia ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya
Umoja wa Mataifa nchini, na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw.
Alvaro Rodriguez.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya
Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP. nchini, eneo la Mlimwa
mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Wapili kulia ni Mratibu Mkazi wa Mashirika
ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez na
wanne kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya
Mashariki, Dr. Augustine Mahiga.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kufungua Ofisi ya Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP
nchini, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Wapili kulia ni
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa
UNDP, Alvaro Rodriguez na wanne kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dr. Augustine Mahiga.
Baadhi
ya washiriki wa Ufunguzi wa Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya
Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Nchini wakimsikiliza Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla ya kufungua Ofisi hiyo
eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba 7, 2017.
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP
nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akizungumza katika ufunguzi wa Ofisi yake
uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, eneo la Mlimwa mjini Dodoma
Desemba 7, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika ya Mashariki, Balozi Dr. Augustine Mahiga kabla ya kufungua
Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi
Mkazi wa UNDP nchini, eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba 7, 2017.
Kulia ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi
Mkazi wa UNDP nchini, Alvaro Rodriguez.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Msanii maarufu wa mjini Dodoma
Mwinamila baada ya onyesho la ngoma la kikunid cha msanii huyo kabla ya
kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na
Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (kushoto kwake),
eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mahariki, Dr. Augustine
Mahiga akizungumza katika ufunguzi wa Ofisi ya Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi w UNDP Nchini
uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, eneo la Mlimwa mjini Dodoma
Desemba 7, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kufungua Ofisi ya Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP
nchini eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba 7, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kufungua Ofisi ya Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP
nchini eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba 7, 2017. Wapili kulia ni
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dr.
Augustinew Mahiga na kulia ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa
Mataifa Nchini, Bw. Alvaro Rodriguez.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika ya Mashaiki, Augustine Mahiga (kushoto kwake) wakitoka ndani ya
Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwkilishi
Mkazi wa UNDP, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia ngoma ya msanii maarufu wa Dodoma,
Mwinamila baada ya kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja
wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, eneo la Mlimwa mjini Dodoma
Desemba 7, 2017. Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika ya Mashariki, Balozi Dr. Augustine Mahiga na wapili kushoto
kwake ni Mratibu Mkazi wa Mshirika ya Umoja wa mataifa ma Mwakilishi
Mkazi wa UNDP, Alvaro Rodriguez.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa Nchini baada ya kufungua Ofisi ya Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP
nchini, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Watatu kushoto
waliokaa ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mshariki,
Dr. Augustine Mahiga na watatu kulia waliokaa ni Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw.
Alvaro Rodriguez.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa
Shule ya Sekondari ya Dodoma baada ya kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini ,
eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Watatu kushoto waliokaa ni
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mshariki, Balozi Dr.
Augustine Mahiga na watatu kulia waliokaa ni Mratibu Mkazi wa
Mashirika ya Umoja wa Matifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw.
Alvaro Rodriguez.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwananchi baada ya kufungua Ofisi
ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi
wa UNDP nchini, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikata keki ikiwa ni moja ya shughuli za
ufunguzi wa ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na
Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (kulia) eneo la
Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika ya Mahariki, Dr. Augustine Mahiga. (Picha na
ofisi ya Waziri Mkuu).






Post a Comment