Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ni miongoni mwa maelfu ya wafanyakazi waliojitokeza kwa wingi Mjini Iringa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI ambapo kitaifa iliadhimishwa mkoani humo na kuongozwa na Rais Dk John Pombe Magufuli.
Home
»
»Unlabelled
» TANESCO yang'ara Sherehe za Mei Mosi 2018, IRINGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






Post a Comment