Gari dogo aina ya Toyota Cresta likiwa limeharibika vibaya mara baada ya kugongana na lori na kusababisha majeruhi watatu akiwepo dereva wa gari hilo katika eneo la Mwanjelwa jijini Mbeya huku majina ya majeruhi hao yakiwa hayafamiki majira ya saa 11 alfajiri Machi 10 mwaka huu ambapo juhudi za kumtafuta Kamanda wa Polisi mkoani humo zikiendelea kufanyika ili kujua chanzo cha ajali hiyo..
Moja ya magari yaliyokumbana na sekeseke hilo
Wananchi wakiendelea kushangaa ajali hiyo .Picha kwa hisani ya Fahari NEWS
Post a Comment