Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Mbeya (Uwsa) Enginia Simion Shauri akionyesha mfano kwa watumishi wa mamlaka hiyo namna ya kufanya usafi nje ya ofisi hizo za mamlaka ikiwa ni moja ya sehemu ya maadhimisho ya siku ya wiki ya maji ambayo hufanyika kila mwaka ambapo mwaka huu maadhumisho hayo ni Machi 22.



Afisa Habari wa Mamlaka hiyo Bi. Neema Stantom akielezea namna maadhimisho hayo yatakavyo fanyika huku akionyesha kuridhishwa na juhudi za mamlaka hiyo katika kupambana na uharibifu wa vyanzo vya maji .

Msimamizi wa ufundi katika Mamlaka hiyo Bw.Simoni Mwaluvwanga .


Ofisi za Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Uwsa.picha na Jamiimoja.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top