- Ajionea maisha halisi ya watu wa mpakani mwa Tanzania na Burundi
- Ashindwa kuelewa kwa nini soko la mifugo lilikufa
- Ashangaa viongozi kutokuwa wabunifu hasa katika fursa zinazoweza kuwasaidia wananchi
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amesimama mpakani mwa Tanzania na Burundi katika kijiji cha Kibande wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma akiangalia upande wa Burundi kwenye kijiji cha Murambi.
Watu wakivuka Mto Malagarasi wakitokea Burundi ambako huuza na kununua bidhaa zao kwenye soko la mchana maarufu kama soko la Buhija.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye pamoja na viongozi wa CCM mkoa wa Kigoma kuelekea kwenye mkutano wa hadhara baada ya kushuhudia mfumo mzima wa maisha ya mpakani mwa Tanzania na Burundi.
Hili ndio soko la mchana la Buhija ambapo Watanzania wengi wanaoishi wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma hufanya shughuli zao za biashara, soko hili lipo nchini Burundi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akikata muwa ambao aliununua kutoka kwa wafanyabiashara wadogo wadogo wa mpakani mwa Tanzania na Burundi

Post a Comment