Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Bus la Timu ya Maboresho likijaribu kuvutwa na trekta mara baada ya kukwama wakati likitoka kuchukua wachezaji uwanjani katika chuo cha Msasani Tukuyu Mbeya




Mafundi na baadhi ya  wananchi katika eneo la Msasani  Mjini Tukuyu wakijaribu kuliondoa basi hilo mara baada ya kukwama wakati likitoka uwanjani kuwachukua wachezaji wa timu ya maboresho Apri 10 mwaka huu .hali ambayo iliwafanya wachezaji hao kwenda uwanjani kwa miguu bila kutumia usafiri huo
picha na Jamiimojablog.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top