Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mganga wa Jadi toka Bwagamoyo akiwa emetinga mavazi yake teyari kwa ajili ya kumsaka nyoka anayedaiwa kuwa ni  Chatu ambaye inasemekana  kuonekana katika maeneo ya mto Meta na Mbeya Sekondary jIijini Mbeya kwa zaidi ya wiki mojan sasa .





Kwa mbali ni mstari mweupe ambao unadiwa kuwa ni njia ya Nyoka huyo.

Hapa hadi kieleweke hatoki mtu hapa.

Ngoja tusubiri tuone

Pichani ni mfano wa nyoka aina ya Chatu anayetafutwa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top