Rais wa Bolivia Evo Morales |
Klabu moja huko Bolivia (Sport Boys)
imemsajili rais wa Bolivia Evo Morales kuchezea kama kiungo cha kati kuanzia
agosti mwaka huu.
Rais Morales atalipwa mshahara wa dola $213 kwa mwezi .
Morales atavalia jezi nambari 10 katika klabu hiyo iliyoko kusini mwa Bolivia katika jimbo la Santa Cruz.
Morales atavalia jezi nambari 10 katika klabu hiyo iliyoko kusini mwa Bolivia katika jimbo la Santa Cruz.
Mashabiki wanamsubiri kwa udi na uvumba kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 54
ambaye ni shabiki sugu wa kandanda kushuka dimbani
mwisho
Post a Comment