Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wanafunzi Washiriki kutoka Chuo Kikuu Cha Sayansi na Teknolojia Mbeya Ndugu Said Yusuph na Emanuel Kimaro wakiwa makini kusikiliza swali katika kipengele cha Maswali  ambapo walikuwa wakichuana na Wenyeji Chuo Cha Mzumbe Campus ya Mbeya.







Mhadhili na Mwanasheria Chuo Kikuu Mzumbe Campus ya Mbeya Steven John akichokoza maada katika kipengele cha maswali ambapo vyuo viwili toka Mzumbe na Must Mbeya vilijitokeza katika mpambano huo ambapo wshiriki toka Mzumbe waliweza kuinuka kidedea dhidi ya majirani zao Must.

Washindi katika kipengele cha Maswali (Ques) Ndugu Frank Urio na Deodatus Tesha wakipokea zawadi

Washindi wa Pili kipengele cha Maswali toka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknologia Mbeya( Must) Ndugu Said Yusuph Na Emanuel Kimaro wakipokea zawadi yao






Shughuli za ujasilimali na ubunifu katika Kongamano hilo haukuwa nyuma ambapo Chuo cha Must kiliweza kuonyesha uwezo wake katika suala la ubunifu wa mavazi ya kitamatuduni pamoja na ramani za nyumba za kisasa zaidi.

Picha na Jamiimojablog.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top