Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kocha mkuu Stars Mholanzi Martin Nooij akiwa na kikosi chake mazoezini uwanja wa sokoine mbeya.
Timu ya taifa malawi ikiwa mazoezini sokoine mbeya kujiandaa na mpambano wake dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania Mei 4 mwaka huu.







Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top