| Wanachama hao kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam w\kiw\ nje ya ofisi za Club ya Simba wakitaka kujua hatma ya Mgombea wao aliyeondolewa katika Mchakato wa Uchaguzi Michael Wambura. |
| Polisi na watinga ndani ya eneo hilo |
Mamia ya wapenzi na washabiki wa klabu kongwe ya mpira wa miguu hapa nchini Simba leo mchana wamejikusanya kwa wingi na kupinga Michael Wambura kuondolewa kwenye orodha ya wagombea kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Wanachama hao ambao walizunguka jengo hilo na kutaka wapewe sababu za msingi kwanini wambura ameondolewa huku wakitaka kufanya vurugu lakini vyombo vya usalama waliwahi kufika eneo la tukio na kuweza kuwatuliza wanachama Hao.picha na DJ Sek






Post a Comment