Mtangazaji wa idhaa ya kiswahili ya
BBC Salim Kikeke ameibuka mshindi katika Tuzo za watu zinazotolewa usiku huu
jijini Dar, katika kipengele cha Mtangazaji wa runinga anayependwa. Hawa ndiyo
aliokuwa anachuana nao
MTANGAZAJI WA RUNINGA ANAYEPENDWA
1. Salama Jabir – EATV
2. Sam Misago – EATV
3. Salim Kikeke – BBC Swahili.EDDY BLOG









Post a Comment